Askari Polisi wa kituo cha Oysterbay mbaroni kwa ujambazi

Askari Polisi wa kituo cha Oysterbay mbaroni kwa ujambazi

Hivi wale policcm waliokamatwa na gunia 2 za bangi kule Moshi na wale waliokamatwa na meno ya tembo ishu iliishia wapi maana na hii itapita kama upepo kama ile nyingine. Hii ndio Tz bwana. Chukua Chako Mapema!

Soma habari mara kwa mara...!!!
 
Mbona mapolisiccm wengi ni majambazi. Huo ujambazi ni kama "part time job" kwao kwa ajili ya kujiongezea kipato...

wafanyabiashara wanagombea ubunge kufanya biashara na ufisadi majambazi wanajiunga upolisi kufanikisha ujambazi wao
 
Kweli Pinda ni janga lingine la taifa. Si ndiyo hawa anaowambia pigeni tu raia, tumechoka.
 
Huyo police ni orijino au feki?

ni polisi Orijino,na nimeddokezwa na mdau mmoja anayemfaham amenidokeza kuwa huyu polisi hata makao makuu wanamjua kuwa ni jambaka,na ameshafanya kazi vituo kadhaa hapa dar es salaa,kuanzia,kimara,stakishari,kawe pia hata kibaha,
 
wafanyabiashara wanagombea ubunge kufanya biashara na ufisadi majambazi wanajiunga upolisi kufanikisha ujambazi wao

isitoshe naanza kuamini pasipo shaka kuwa huenda wale majambazi walioiba pesa habib bank watakua walishirikiana na POLISI WA MWEMA,na wala 'sio watu waliovaa sare za jeshi la polisi'
 
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limewatia mbaroni majambazi tisa wa kutumia silaha akiwemo askari polisi wa kituo cha polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam.

Kamishna wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaamu Bw. Suleimani Kova amesema majambazi hao wamekamatwa katika operesheni maalum ya jeshi hilo ambapo pia walifanikiwa kukamata sare za jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) zinazoaminika kutumika katika uhalifu pamoja na silaha na risasi.

Aidha kamanda kova ameeleza kukamata magari yanayosadikika kutumika katika uhalifu tofauti pamoja na yenye namba za usajili T865CEH aina ya Carina, na T967 AUG carina.

CHANZO: ITV

ndo wanavyoalea na pawo wengi chungu nzima wezi wa kutupwa waona rushwa haitoshi na sasa ujambazi ndo inawalipa
 
CHUNGA SANA MANENEO YAKO.Uliniona nafanya ujambazi sipendi sana hizo kauli.

Polisi Ni majambazi kiongozi,Believe dat waanhe... Brrrrr

=====================================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================================
 
Hahaha wazee wa karakana hao mpaka pori la katavi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom