Hivi wale policcm waliokamatwa na gunia 2 za bangi kule Moshi na wale waliokamatwa na meno ya tembo ishu iliishia wapi maana na hii itapita kama upepo kama ile nyingine. Hii ndio Tz bwana. Chukua Chako Mapema!
Mbona mapolisiccm wengi ni majambazi. Huo ujambazi ni kama "part time job" kwao kwa ajili ya kujiongezea kipato...
Huyo police ni orijino au feki?
wafanyabiashara wanagombea ubunge kufanya biashara na ufisadi majambazi wanajiunga upolisi kufanikisha ujambazi wao
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limewatia mbaroni majambazi tisa wa kutumia silaha akiwemo askari polisi wa kituo cha polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaamu Bw. Suleimani Kova amesema majambazi hao wamekamatwa katika operesheni maalum ya jeshi hilo ambapo pia walifanikiwa kukamata sare za jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) zinazoaminika kutumika katika uhalifu pamoja na silaha na risasi.
Aidha kamanda kova ameeleza kukamata magari yanayosadikika kutumika katika uhalifu tofauti pamoja na yenye namba za usajili T865CEH aina ya Carina, na T967 AUG carina.
CHANZO: ITV
CHUNGA SANA MANENEO YAKO.Uliniona nafanya ujambazi sipendi sana hizo kauli.Polisi ni majambazi.
CHUNGA SANA MANENEO YAKO.Uliniona nafanya ujambazi sipendi sana hizo kauli.
Haya mambo kumbe yameanza zamaniHalafu ndio hawa wanaoaminiwa na Mh. Pinda na kuamliwa watupige raia huku hao hao wanatuibia mali zetu ambazo wamefundishwa wazilinde.
Hiki kituo kwanini kinatajwa sana? Kuna shida mahalaPolisi ndo majambazi haya pinda waibe tu