Askari polisi wafariki ajalini Msoga

Pole yao sana wahanga na wafiwa wote...
 
Hayo maeneo mpaka vigwaza sijui kuna mzimu gani maana ndugu yangu aliangamia eneo hilo kwa ajali mbaya sana
 
Raha ya Milele , Uwape , eeeh Bwana !! Mwanga wa Milele Uwaangazie !! Wapumzike kwa Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…