Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Yeah inasikitisha sanaVijana na mwendokasi ni kama paka na samaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah inasikitisha sanaVijana na mwendokasi ni kama paka na samaki.
Na watakufa sana wasipotii sheria za barabara. Tatizo la vijana ni hawaambiliki.Vijana na mwendokasi ni kama paka na samaki.
Huwaambii kitu wakishamiliki magari yao full mihemko.Na watakufa sana wasipotii sheria za barabara. Tatizo la vijana ni hawaambiliki.
Mkuu ulikuwa unafukuzana nao?Toyota cresta ni balaa likikolea Moto hiyo Ngoma ilikuwa kwenye 170 speed
Sijaelewa polisi unaingia km unaingia chooni au emu fafanua?
Sawa yaan wanaingizana wao kwa wao km Zenjibar,Unaingia kwa utaratibu maalumu ambao wameupanga wao
Sawa yaan wanaingizana wao kwa wao km Zenjibar,
Sharti uwe mzenji tu au uwe na ile bendera yenye rangi nyingi nyingi?Ukiwa mzanzibar kazi unapata mapema zaidi na cheo kizuri.
M zanzibar akikaza JKT tu anaajiriwa fasta na cheo anapewa kama ana elimu ya chuo kikuu level ya shahada yeyote. Hata kama ana degree ya kiswahili analamba cheo
Sharti uwe mzenji tu au uwe na ile bendera yenye rangi nyingi nyingi?
Mkuu nimeuliza kigezo uwe mzenji tu au na ile bendera yenye rangi nyingi nyingi zambarau, blue, nk nayo pia uionyeshe?Wazenji wana nafasi zao katika ajira za muungano.
Nafasi zao za ajira ni nyingi sana kuliko idadi ya wa Zanzibar wanaozitaka
Mkuu nimeuliza kigezo uwe mzenji tu au na ile bendera yenye rangi nyingi nyingi zambarau, blue, nk nayo pia uionyeshe?
Mkuu bendera yenye rangi nyingi je?Kitambulisho cha mkazi cha zanzibar na cheti cha kuzaliwa
Ya mauaji au ya kubaka na kulawoti?Kuna askari juzi amembambikia kesi ndugu yetu
Hapo ukute wametoka ama wanamwahi mtu kumbananisha na Rushwa!! Dhulma mbaya sana.Watu wa kesi hao. Karani wa mahakama na polisi muendesha mashtaka. Na magelfrend wao.