Askari polisi wafariki ajalini Msoga

Askari polisi wafariki ajalini Msoga

Ukiwa mzanzibar kazi unapata mapema zaidi na cheo kizuri.

M zanzibar akikaza JKT tu anaajiriwa fasta na cheo anapewa kama ana elimu ya chuo kikuu level ya shahada yeyote. Hata kama ana degree ya kiswahili analamba cheo
Sharti uwe mzenji tu au uwe na ile bendera yenye rangi nyingi nyingi?
 
Wazenji wana nafasi zao katika ajira za muungano.

Nafasi zao za ajira ni nyingi sana kuliko idadi ya wa Zanzibar wanaozitaka
Mkuu nimeuliza kigezo uwe mzenji tu au na ile bendera yenye rangi nyingi nyingi zambarau, blue, nk nayo pia uionyeshe?
 
FB_IMG_1678042861528.jpg
FB_IMG_1678042858234.jpg
 
Back
Top Bottom