steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Ni kweli unayosema.Tatizo la wabongo mnapenda sana kitonga yani mnaishi kimazoeazoea hamtaki kubadilika
Anza kufata taratibu na sheria zinasemaje
Hivi unadhani ukiwa umekamilika atakuwa na nguvu za kukushikilia?
sasa wewe mkiwa barabarani hamfuati taratibu zozote zile yani unakuta mtu sijui helmet huvai, huna leseni na makorokoro kibao ambayo unatakiwa uwe nayo halafu ukikamatwa unaanza kulalamika sasa unalalamika nini sasa acheni kuishibkwa mazoea
Na hapo sio kwamba makosa huna ni unayo ila mazoea yako yanakupa tabu sema nini mnakera wazee
Acha wawakamue si ndo maisha mliyochagua kwanini usikamilike kabla hujaingia barabarani mbona ukienda kwa demu wako husahau chochote
Soma tena usijibu kwa mihemkoTatizo la wabongo mnapenda sana kitonga yani mnaishi kimazoeazoea hamtaki kubadilika
Anza kufata taratibu na sheria zinasemaje
Hivi unadhani ukiwa umekamilika atakuwa na nguvu za kukushikilia?
sasa wewe mkiwa barabarani hamfuati taratibu zozote zile yani unakuta mtu sijui helmet huvai, huna leseni na makorokoro kibao ambayo unatakiwa uwe nayo halafu ukikamatwa unaanza kulalamika sasa unalalamika nini sasa acheni kuishibkwa mazoea
Na hapo sio kwamba makosa huna ni unayo ila mazoea yako yanakupa tabu sema nini mnakera wazee
Acha wawakamue si ndo maisha mliyochagua kwanini usikamilike kabla hujaingia barabarani mbona ukienda kwa demu wako husahau chochote
Ukiona Polisi wapo zaidi ya mmoja hapo hawapo kwa bahati mbayaNi kweli unayosema.
Ila mtoa mada anasema inaelekea wapo pale bila kufuata taratibu.
Kutokua na risiti hakuhalalishi kuomba rushwa...
Content ya ulichoandika imeeleweka usiseme nirudie kusoma acha malalamiko Fata taratibuSoma tena usijibu kwa mihemko