rafael mkumbos
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 191
- 369
Poleni sana sana mahabusuAskari watano wamefariki papo hapo na mahabusu kadhaa.
inna lillahi wa inna ilahi rajirun 🌹
Taarifa nilizopata ni kuwa, kuna ajali imetokea asubuhi ya leo, ikihusisha gari la Polisi na Semi, Mlima wa Sekenke uliopo Iramba, Singida.
Gari la Polisi lilikuwa limebeba Mahabusu na Askari Polisi, likitokea Shelui kwenda Kiomboi.
Askari watano wamefariki papo hapo na mahabusu kadhaa.
View attachment 3675029
Askari watano wamefariki papoR I P Mahabusu