Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

Kwa mkoa wa Singida,hao watano,ni kidogo sana! Mungu tuletee RPC & RCO!
 
Askari Polisi Watano(5) na Mahabusu Saba (7) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo maeneo ya Mlima Sekenke Walayani Iramba Mkoani Singida
Wengine wawili waliofariki ni Dereva wa lori na utingo wake, kufikisha jumla idadi ya watu 14 waliofariki papo hapo
 
Mlima sekenke kaa mbali na malori ya mizigo,mafuta nk
Wakati wowote break zinafeli

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…