FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha wanaoasha mapanga kwenye moto na kuwababua mwili mzima kama wanababua nguruwe. Habari ipo chini.