Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Sitokuwa mwepesi kujudge maana hii story bado upande mwingine haujaeleza why, anaefaham story ya upande meingine imekuwaje wakafika hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanajeshi wa kulinda maliasili mara nyingi huwa wakatili, na wana adhabu kali sana kwa wale raia watakaowakuta na makosa ya kuvamia hifadhini.
Wanafanya mambo ya hovyo kwa wanadamu wenzao, mpaka wakati mwingine inaonekana mnyama ndie mwenye thamani zaidi ya mwanadamu.
Ni majambazi haswa hayoHii nchi inatia hasira.
Hao wanafaa kupigwa risasi hadharani
Mtetezi wao alishatangulia mbele ya haki,wavumilie tu,hakuna namna, Mama Samia anaupiga mwingi.Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi...
Mkuu sijaiona ipo wapi?Umeangalia video? Hawajavamia, bali wanalazimishwa waondoke kinyume na makubaliano ya kupewa fidia na kuhamishwa baada ya kumaliza kuvuna mazao yao. Hifadhi ndio imewafuata, inajitanua.
Lakini ikitaka kuona upuuzi wa nchi hii angalia thread hii hutaona watu wakiichangia kwa nguvu na uchungu au hasira kwa wanaotenda uovu huu lakini ingekuwa ina udaku au umbea sasa hivi wachangiaji wangekuwa wanayoka jasho kwa kuonyesha walivyo mahiri kuandika.Hii nchi inatia hasira.
Hao wanafaa kupigwa risasi hadharani