FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hivi umeangalia hiyo video au umecoment tu?tanapa wakimwotea jangili wanamfanya hamna maana wao wenyewe wanapitia vimbwenga sana mara walogwe, pigwe mishale ya sumu nk
Hii nchi inatia hasira.Hawa hawana tofauti na magaidi
Umeangalia video? Hawajavamia, bali wanalazimishwa waondoke kinyume na makubaliano ya kupewa fidia na kuhamishwa baada ya kumaliza kuvuna mazao yao. Hifadhi ndio imewafuata, inajitanua.Kwann mvamie hifadhi Sasa
Umeangalia video? Hawajavamia, bali wanalazimishwa waondoke kinyume na makubaliano ya kupewa fidia na kuhamishwa baada ya kumaliza kuvuna mazao yao. Hifadhi ndio imewafuata, inajitanua.
Hata kama wamevamia hifadhi sheria inasemaje? Kama kweli wamewachoma watu na mapanga ya moto ni ukatili wakutisha.Kwann mvamie hifadhi Sasa
Kumbe hata siyo wavamizi!Umeangalia video? Hawajavamia, bali wanalazimishwa waondoke kinyume na makubaliano ya kupewa fidia na kuhamishwa baada ya kumaliza kuvuna mazao yao. Hifadhi ndio imewafuata, inajitanua.
Jeshi la Kigwangala