Wakat wao wanazuia watoto hata kukanyaga shule hamkuona..mtoto atapelekwa na mzaz ila bus litakua kituoniSasa watoto watasoma saa ngapi kama amewapark shule wapo ndani ya basi Mkurugezi mbona hiyo hela ni 1/8ya ada ya mwanafunzi Mmoja wewe lipa tu.
Ni jino kwa jino mkuuu ama veep.?Ndio.hahaha
Kutaka hilo neno lirekebishwe ndio ukuda? huoni kua kwa mtu asielielewa anaweza kuli adopt hivyo hivyo lilivyo?In real life utakua mkuda sana wew
Ni vile madereva wa hayo magari hawakuwa na ya chai .Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.
Halaf nkamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino
Nikacheka sana.
Kama askari amewakazia kwa kuwa ni sheria sawa kabisa, ila kama ana machungu ya wanawe kurudishwa au kukataliwa shule sababu hajalipa ada basi hapo si sawa...Afande kila akiwapiga swaga kuwa nilikuwa likizo ngoja niingie road kusaka fedha nije nilipe ada ya Manka na Junior wakamkazia.
Askari anayejitambua, aliyeenda chuo akaeelimika hawezi kufanya kazi yake kwa kupiga vijembe. Wewe kusanya faini basi.Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.
Halaf nkamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino
Nikacheka sana.
Umeamua kukomalia mzee..we utakua mkuda kwel aiseeKutaka hilo neno lirekebishwe ndio ukuda? huoni kua kwa mtu asielielewa anaweza kuli adopt hivyo hivyo lilivyo?
In real life utakua unapenda kufuga ujinga na hupendi kurekebishwa.