Askari umenifurahisha sana leo aisee. Safi sana!

Askari umenifurahisha sana leo aisee. Safi sana!

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.

Halaf nikamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino

Nikacheka sana.
 
Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.

Halaf nkamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino

Nikacheka sana.
Ni vile madereva wa hayo magari hawakuwa na ya chai .
Mbona siku hizi hao askari hadi buku wanachukua
 
Afande kila akiwapiga swaga kuwa nilikuwa likizo ngoja niingie road kusaka fedha nije nilipe ada ya Manka na Junior wakamkazia.
Kama askari amewakazia kwa kuwa ni sheria sawa kabisa, ila kama ana machungu ya wanawe kurudishwa au kukataliwa shule sababu hajalipa ada basi hapo si sawa...
 
Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.

Halaf nkamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino

Nikacheka sana.
Askari anayejitambua, aliyeenda chuo akaeelimika hawezi kufanya kazi yake kwa kupiga vijembe. Wewe kusanya faini basi.
 
Kutaka hilo neno lirekebishwe ndio ukuda? huoni kua kwa mtu asielielewa anaweza kuli adopt hivyo hivyo lilivyo?

In real life utakua unapenda kufuga ujinga na hupendi kurekebishwa.
Umeamua kukomalia mzee..we utakua mkuda kwel aisee
 
Back
Top Bottom