Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.
Halaf nikamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino
Nikacheka sana.