LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Uko sahihi 100%lakini tabia haina dawa.Ni sawa lakini wajaribu kutafuta Askari wa maana si kutuletea wazalisha kero. Mimi ni mtumiaji wa KIA sasa mwaka wa kumi. Nimeshuhudia KADCO wakijitahidi kuutangaza uwanja kwa muda mrefu. Nimeona wakiboresha miundombinu mingi kuanzia cold room kwaajili ya wasafirisha wa matunda, mboga mboga na maua ambayo mwanzoni ilibidi kusafirisha kutokea Nairobi JKIA.
Ikiwa KADCO wameweza kubadili kutoka unyonge hadi leo mashirika zaidi ya 12 yanatumia KIA ni kwanini wamwachie Askari mmoja na sema mmoja kuharibu taswira yote ya KIA?
Polisi wa Tanzania hawajui walitendalo. They are money mongers.. Hawafikirii nini kitatokea kesho.
Maana angalia hata hawa wa usalama barabarani wanavyo sumbua magari ya kigeni. Hadi tukienda kwao tunaambiwa mapolisi wenu ni wabaya, wana penda sana hongo. Hiyo ni sifa nzuri kweli?