Askari Uwanja wa Ndege KIA wanaharibu taswira ya nchi kwa kubugudhi wasafiri

Uko sahihi 100%lakini tabia haina dawa.
Polisi wa Tanzania hawajui walitendalo. They are money mongers.. Hawafikirii nini kitatokea kesho.
Maana angalia hata hawa wa usalama barabarani wanavyo sumbua magari ya kigeni. Hadi tukienda kwao tunaambiwa mapolisi wenu ni wabaya, wana penda sana hongo. Hiyo ni sifa nzuri kweli?
 
Halafu hawa wapumbavu hata kiingereza hawajui vizuri!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ulivyojibu / aliyejibu maswali kama alivyokuuliza/ulizwa na huyo askari, alikuomba/aliombwa rushwa, ili ku justify hiyo mianya ya rushwa? 🙏🙏🙏
 
Tanzania ina wahuni wengi Sana wameajiriwa na serikali ya ccm! Aibu kubwa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
LAZIMA wakaguliwe. Ufipa hamnaga jema. Wakiachwa wapitishe Dola zaidi ya 10000 mtasema pia. Wasafiri watii na wafuate utaratibu. Kote duniani kuna tight security kwenye viwanja vya ndege. Huwezi kulegeza utaratibu kisa Wageni
 
Poleni sana, ila kwa nchi za wenzetu ni kawaida sana...

Ni kawaida kila mahali lakini unapokuwa ndani ya Airport.KIA inakubidi uombe mtu TRA nje akujazie paper ukijichanganya ukaingia ndani umekwisha.
 
Tatizo la pale KIA kila mtu anaota utajiri.
Utakuta hata huyo Askari ni pandikizi la mkuu wa kituo cha Polisi hapo KIA.

Hata wale Traffic Police pale njia ya Bomang'ombe nao ni kero kwa wageni.
 
We kariri tu.
 

Wabongo tunapenda kulalamika kwa kila kitu,kwahiyo kukaguliwa unaona ni usumbufu!?angalia vipindi kama airport security discovery channel au how to catch smugglers NATGEO uone watu wanavyo pekuliwa airport za JFK,MIA nk
 
Wabongo tunapenda kulalamika kwa kila kitu,kwahiyo kukaguliwa unaona ni usumbufu!?angalia vipindi kama airport security discovery channel au how to catch smugglers NATGEO uone watu wanavyo pekuliwa airport za JFK,MIA nk

Tatizo unakimbilia kujibu bila kuelewa mada sawa sawa.

Ukaguzi unafanyika Airport zote.Ukaguzi wa ziada ufanyika baada ya scanner kubaini vitu visivyo vya kawaida katika mwili au katika mabegi.

Kinachotekea KIA unapita katika scanner vizuri mzigo au begi linakuwa sawa.

Askari njaa anakuja na njaa zake analazimisha jambo wakati ndio kwanza umeingia bado haujapata boarding pass haujakaguliwa na immigration.Hili ndio tatizo linapoanza.

Airport za wenzetu ukaguzi wa ziada ufanyika baada ya scanner kubaini hali ambayo si kawaida.

Usikariri kwa kutazama Dstv na hata ukitazama bado utabaini ukaguzi wa ziada unafanyika katika mazingira yenye kutia shaka za uhakika.
 
Ujumbe umemfikia ..chemba anajuwa SWILABATO

Mkuu unge mpashamya ya Kisirisiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…