Askari Wa Israeli Amdhibiti Gaidi Wa Kipalestina Red-Handed

Askari Wa Israeli Amdhibiti Gaidi Wa Kipalestina Red-Handed

Zile prisonaer breaker 4 tayari zimekamatwa na wawili walikuwa na njaa wakaenda piga hodi nyumba za raia wa Israel kuomba msosi kisha wakaenda kujificha kwenye maloli yaliyoharibika
wamebakia wawili ambao ni hatari inasemakana ni ma-spyer and killer hata hivyo jamaa waiabisha israel duuh
 
Jamiiforum imepoteza ladha. Kila unapoingia jukwaani unakutana na kashifa dhidi ya waarabu/waisilamu kwa ujumla, na kuitwa magaidi,,,kuna baadhi ya wakristo wanajielewa na wanachukia uovu unaowafanywa na mayahudi zidi ya wapalestina/western countries.

👇🏼

quran image Al Baqarah120

(2:120) And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper.
 
natamani kusikia gaidi maneno aliyokua anatamka iwe kimoyomoyo au kwakusikika

Mana naona anashushwa hatua kwahatua mpaka chini

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Vita na chuki kati ya Israel na Palestina ni zaidi ya udini, hakuna askari atakabiliana na gaidi kijinga hivyo, gaidi kumkamata lazima ahakikishe amewapopotoa hata wawili, watatu... iwe kwa silaha au kujitoa mhanga... afe yeye ufe wewe... hamjui magaidi...
 
Jamiiforum imepoteza ladha. Kila unapoingia jukwaani unakutana na kashifa dhidi ya waarabu/waisilamu kwa ujumla, na kuitwa magaidi,,,kuna baadhi ya wakristo wanajielewa na wanachukia uovu unaowafanywa na mayahudi zidi ya wapalestina/western countries.

[emoji1370]

quran image Al Baqarah120

(2:120) And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper.

ingependeza kama ungewaita wayahudi na sio mayahudi
 
Kwa picha na movie za Hollywood hamjambo,
Editing,propaganda, vitu vibaya ndio vinaonyeshwa
Marekani kishakimbizwa huko Afghanistan, au nayo mtatuma picha wameondoka kwa hiyari
 
Back
Top Bottom