Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahahhaa sijasema kama kuna uongo, kuna ukweli mtupu

Hii video mbona imekatwa na kupoteza maana iliyokusudiwa na ni ya zamani. Mleta mada usitupeleke kwenye maana tofauti na iliyokusudiwa. Tusijadiki kisichokuwepo.
 

Your browser is not able to display this video.

Na huyu kada wa CCM Msikilize anavyosema USHINDI WA CCM NI LAZIMA. Mama Abdul Amfukuze Ukada wa CCM huyu anamkufuru Mungu.
 
tukisema tuwachukie Polisi kuna watu wanatunanga
 
Kesho hana kazi🤣
 
Kuna kauli maarufu sana isemayo '' MUNGU HAMFICHI MNAFIKI'' Ndugu zetu wa CCM hizi kauli hazitolewi na kina Mbowe, ni wenzenu mlioshiri nao kwenye Wizi wa kura
Mnachokiona leo kila raia anatoka kusema either kwa kujua anasema ule ukweli mlioukataa au kwa kutokujua kuwa wanaongea mliyoyaficha.
Kumbukeni tu, Mungu hamfichi mnafiki, na nyinyi ndio mnafichuliwa hadharani.
Kila usaliti mnaofanya na mlioufanya mtauweka wenyewe hadharani.
 
YALIYOTABIRIWA SASA YANATIMIA
 
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine
Unataka tuwe na Ayattolah?
 
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine
Kwa mintarafu hizo umuhimu wa Katiba mpya bora uko wazi kabisa 🙏🙏
 
Ulichokiandika wewe mwenyewe ukisoma unakielewa?
Ok ngoja urahisishiwe elimu. Amiri jeshi ni cheo cha JWTZ. Haya rudi ukaone kama kuna uhusiano wa hoja yako ya rais kuwa amiri jeshi na polisi.
 
Kwani Mkuu... Uongo hapo ni upi?
Tatizo letu hatutaki kuamini kuwa Ukweli siku zote unabaki kuwa Ukweli!

NB: Kwa ukweli aliousema, huyo Afande hamalizi September.
Lakini bado hiyo haitokuwa ndio muarobaini !
Wala hatua ya kutumbua tumbua wanaoropokwa kila uchao haitofuta yale yaliyoropokwa !
Tena ndio kwanza yale majambo yanapata umaarufu zaidi wa kujadiliwa na Wananchi !
Ni command inchief wa vyombo vyote vya dola.
ongezea kwamba ni Commander in Chief of the armed forces !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…