Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ni mipango madhubuti ya Wahuni. Wahuni wanataka nchi yao na wanawatumia watu tofauti tofauti kuonesha na kumdhihaki Rais aliyepo madarakani.

Ni vizuri kuzaliwa matajiri wapya na kuwakataa WAHUNI kama Balozi Polepole alivyokuwa akipambana nao.
 
Back
Top Bottom