Askari wa jiji wapokea kipigo toka kwa machinga mtaa wa Samora

Dsm ni mkoa wenye changamoto sana katika utekerezaji wa majukumu..hapo mgambo hawana kosa wametumwa kutekereza amri..ila wanasambuliwa ukiangalia machinga ndio wavunja sheria.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tunaanza mazoezi kuna siku kitanuka we waache waendelee kufumba macho.
 
Baada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao.

Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao.

Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia wenye haki ya kujipatia kipato nchini mwao.
Askari wa ccm hao
 
Na wewe ulipiga?
 
Back
Top Bottom