jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ni kweli, sema mgambo wanakuwaga na stress tuBut wanachofanya sio ubinadamu kabisa.
Mtu unavamia mali ya mtu unaharibu kisa tu wewe ni askari.
Hapana.
Askari wa ccm haoBaada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao.
Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao.
Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia wenye haki ya kujipatia kipato nchini mwao.
Hao kwa kweli sio Askari, wameamua kutimka kweli na virungu vyao!! Wakati ukishaitwa Askari ukipewa jukumu ni kulitekeleza kwa nguvu zote kama ni kufa fia hapo hapo utakuwa umekufa kishujaa, lakini Askari unakimbia!! ni aibu sanaAskari wa ccm hao
duuuuuuuhNgoja nikupitie ukapige mwenyewe.
Atakuja kusema wanaonewa au atamtuma MTU aanzishe Uzi wa kulialia.Usisahau kutuletea mrejesho pale mugambo watakapojibu mapigo.
Na wewe ulipiga?Baada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao.
Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao.
Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia wenye haki ya kujipatia kipato nchini mwao.
Hakuna watu wenye viherehere kama MgamboAma kwa hakika tukio hili lilikua la aina yake.