Katika research NILIYO fanya na kuja na valid conclusion Ni kua.....
Hili swala lipo ki saikolojia zaidi KWA mfano mwanaume anaweza mchukua mwanamke Alie toka kufanywa na mwanaume mwingine na yeye akaenda kumfanya na akawa na amani ya moyo......
Mwanaume anaweza aka mpenda mwanamke mmoja na akawa amejiaminisha KUA Ni wake pekee ake hapo ndipo huwa Kuna anzia tatizo.......
Kikubwa Ni moyo stable kujitahidi KUA na moyo wa subra kwenye haya mambo....
Pia kujitahid kufanya measurements & evaluation kweny KILA maamuzi hasa hasa mtu akiwa kwenye hasira (panic).......
Wanawake wapo wengi sanaa Tena sana nawa KILA sampuli.....
Omba yasi kukutee......watakuja na wengine kuongezea ongezea nyama....
Ova
RIP MWANAJESHI