Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

Udangaji malipo yake ndo hayo
 
Huyo mjeda zuzu sana, unauaje nyapu moja wakati kuna varieties huko mtaani!
 
Mjinga kabisa huyu askari.
Yaani amejaribu kujiua kisha ameshindwa kabisa?
Hafai kuwa askari huyu!
Mbaya zaidi komando anajua njia kibao za kujitoa uhai hata pale anapokuwa kwenye mikono ya adui. Cpl. Warioba maombi ya kibari yanakuhusu ukahukumiwe uraiani
 
Sijui ni kwanini siku hizi 'nawadharau' mno wale Wanaume wanaopoteza muda Wao 'Kuoa' wakati Wanawake walioolewa ndiyo 'Vinara' wa Kusaliti.
Yaani inashangaza sana .. kwanza kazi ambayo Mimi naifanya inanikutanisha sana na wanawake kwaajili ya masuala mbali mbali ya ushauri wa ndoa na mahusiano tangu nianze kufanya kazi napenda ku declare intereste Wanawake karibia wote waliowahi kufuata huduma katika ofisi yangu hakuna hata 1 ambaye amewahi kusema kuwa ana bwana Mmoja yaani wote wanasema Wana mabwana kuanzia wawili wa3 na kuendelea hiyo haijalishi Ni mke wa mtu .mchumba au Gf ..Yaaani kama juzi kuna Mmoja alikuja ofisini akaanza kunipa feedback zake mpaka nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu " Tena kuna wengine hata hauwezi kutegemea kwa muonekano wa nje Ni wastaarabu mnoo ... Kuna wakati mpaka huwa najiuliza hi dunia inaelekea wapi 🤔

Kuna wanawake zaidi ya wa4 nawajua na tuna heshimiana sana lakini wamewahi kuniambia kuwa baadhi ya watoto walionao sio wa wanaume walio waoa ..Mbaya zaidi hao wanaume Ni watu wenye heshima zao wanakazi nzuri tu na wanaheshimika .....



Daahh naomba Huu ulimwengu pepo la Kuoa liniepuke Tena linipitie mbali kabisa
 
Amefariki masaa kadhaa yaliyopita.
 
Hakuna watu wanasaidiwa wake zao kama wanajeshi aisee......
Nakubaliana nawe kwa hili kwa 100% Mkuu kwani kama wakitakiwa Watu 10 wanaoongoza 'Kuwakanyagia' Wake zao tu nina uhakika kabisa sikosi.
 
Mimi kilichonipandisha kabisa Hasira hadi hata ya kutotaka kusikia neno Kuoa au kutowaamini tena Wanawake Maishani mwangu ni Tukio ambalo nililiona mwenyewe kwa Macho yangu. Kuna Dada Mmoja hivi wa Benki Moja ( hata hapa JF ) naiona inajitangaza wa Tawi lao la karibu na Klabu moja Kubwa sana ya Mpira inayopendwa na GENTAMYCINE alikuwa Kapangiwa na Dereva wa Taksi jirani na nilipokuwa nikiishi.

Huyu Dada licha ya Kupangiwa tu na huyu Dereva wa Teksi pia alikuwa akipewa Huduma zote na Jamaa. Kuna Siku sitoisahau Mimi nilikuwa natizama 'Movie' Ghettoni Kwangu Usiku na Jamaa ( Dereva wa Teksi ) alikuwa ameenda Kusaka Wateja wake. Nakumbuka wakati nikiwa natizama 'Movie' ilikuja Gari Moja na Kupaki Mkabala na Dirisha langu kisha Taa ikazimwa yule Demu akatoka na kuja 'Kutombwa' Mimi naona.

Baada ya Mwanamke huyo kumaliza 'Kutiwa' huko tena akiwa 'Kainamishwa' katika 'Bampa' la Gari la huyo Mzee nikadhani labda atakuwa amechoka kwa 'Mkojozo' ule na atarejea Kulala. Walipomalizana tu na Yule Mzee nakumbuka baada ya kama Masaa Mawili baadae likaja Gari lingine tena na akatoka na safari hii kwenda 'Kutombwa' ndani ya Gari. Yaani Siku hiyo nilikuwa natizama 'Pono' iliyo 'Mubashara' kabisa.

Alipomaliza 'Kukojozwa' akarejea Kwake na Jamaa Kuondoka zake. Sasa kilichokikasirisha zaidi na hadi kutowaamini Wanawake na kutokuwa na hamu nao tena ni pale Jamaa ( Dereva wa Teksi ) Mwenye Mali hasa aliporejea na Kuona huyu Mwanamke akimpokea kwa 'Bashasha' zote za 'Kimahaba' na baadae nikamsikia akimwambia anajisikia anaumwa na Tumbo nikajua 'anazuga' ili Jamaa 'asimtombe' kwakuwa 'alishatombwa' mno.

Mwenyezi Mungu 'anisamehe' sana kwa kutosema au hata kutokuwa na nia tena ya 'Kuoa' Maishani mwangu ila Wanawake wa sasa ni taabu tupu!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee wewe imewahi kukukuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…