Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Arooo...arooo,mbona unareta fujo?Hebu piga magoti hapo uripo muraa!😂😂😂😂😂
 
#**Safi Sana.... Heshima lazima iwepo.
Sio kujitia miungu watu, watu wengine bhana.. 🤷
 
JWTZ bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau

Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa

hilo la 90 baba yako analo, bado hata baiskeli huna
 
Ule ushahidi wa video ni rahisi kuukana, plate namba zimeeditiwa zile
 
JWTZ bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau

Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
Mimi trafiki nikipata chance ya kumtengua kiuno na kukimbia nitafanya hivyo.., yaani ni waonevu sijapata ona.., acha tu
 
Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa

Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90
Nissan kama hizo bei yake mil 7 yametumika watu hawayataki kakopa kalinunua anadharau watembea Kwa miguu
 
Inamaana waziri asingesema, ndio ingeisha hivyo !
 
Mwisho wa yote watayamaliza..hawa polisi na wanajeshi huwa hawapendani lkn wakikaa meza moja wanayamaliza

Huyo waziri ameongea tu kisiasa ili aonekane anafanya kazi lkn ukweli ni kwamba meno hayaumani
 
Mwisho wa yote watayamaliza..hawa polisi na wanajeshi huwa hawapendani lkn wakikaa meza moja wanayamaliza

Huyo waziri ameongea tu kisiasa ili aonekane anafanya kazi lkn ukweli ni kwamba meno hayaumani
Kuna jamaa jwtz tulikuwa naye tunalewa si akaanza ushamba kutukana watu , alichezea kichapo kutoka kwa Magereza, kesho yake issue ilimalizwa mezani jamaa akiwa na bandeji

Magereza alijitetea kwa afande wake "ni mambo ya pombe mimi sikumbuki chochote" 🤣
 
Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa

Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90
Majeshi yetu na serikali ya walamba asali ya miaka 60 Bado hawana mishahara inayotosha kuendesha maisha yao bila kutegemea kwenda Nje kulinda waporaji wa Rasilimali za bara la Afrika wanajificha chini ya mwavuli wa UN.

Kama nchi za Afrika zinagekua na amani hakika serikali nyingi zingepinduliwa mana serikali nyingi haziwalipi mishahara hata Moja ya Kumi ya mishahara ya wanasiasa.
Hii ni hatari sana. Ukiona mwanajeshi au Polisi ana maisha mazuri basi ujue ni Kwa sababu ya kazi za kulinda nchi nyingine lakini sio nchi yake . Kwenye nchi nyingine wanaonufaika sio waafrika Bali ni Majangili ya kimataifa huku waafrika wakiwa wanaachiwa Silaha za kuuana. Wanalindwa waporaji.

Afrika Ina laana Fulani inayotokana na ubaguzi na ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…