1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Wanasahau kuwa wote Wana mafunzo ya karate, kupigana Kwa ajili ya kujihami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa jwtz tulikuwa naye tunalewa si akaanza ushamba kutukana watu , alichezea kichapo kutoka kwa Magereza, kesho yake issue ilimalizwa mezani jamaa akiwa na bandeji
Magereza alijitetea kwa afande wake "ni mambo ya pombe mimi sikumbuki chochote" [emoji1787]
Ndio hivo,wengine wapiga deals,kuna mwanangu alifariki alikuwa polisi, wakikamata dumu 20 za gongo,15 anachukua anauza😁Majeshi yetu na serikali ya walamba asali ya miaka 60 Bado hawana mishahara inayotosha kuendesha maisha yao bila kutegemea kwenda Nje kulinda waporaji wa Rasilimali za bara la Afrika wanajificha chini ya mwavuli wa UN.
Kama nchi za Afrika zinagekua na amani hakika serikali nyingi zingepinduliwa mana serikali nyingi haziwalipi mishahara hata Moja ya Kumi ya mishahara ya wanasiasa.
Hii ni hatari sana. Ukiona mwanajeshi au Polisi ana maisha mazuri basi ujue ni Kwa sababu ya kazi za kulinda nchi nyingine lakini sio nchi yake . Kwenye nchi nyingine wanaonufaika sio waafrika Bali ni Majangili ya kimataifa huku waafrika wakiwa wanaachiwa Silaha za kuuana. Wanalindwa waporaji.
Afrika Ina laana Fulani inayotokana na ubaguzi na ubinafsi.
😂 Ule ugomvi ulichekesha sana,jwtz alikuwa na cheo cha luteniWanasahau kuwa wote Wana mafunzo ya karate, kupigana Kwa ajili ya kujihami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Inaonekana unaishi kambini au pembezoni mwa kambi. Huna exposure na hujawahi kutembea sehemu mbali mbali otherwise usingeandika hicho ulichoandika
- aisee mkuu hiyo itakuwa ni kweli, inaonekana anaishi kambini, akiona IST kwenye baadhi ya Nyumba za maaskari anaona ndio GoodLife
- Kama hajui Police traffic Wana good life(though siungi mkono Rushwa) na pesa kubwa sana kuliko Hata maofisa baadhi wa jeshi
Ni wa ile kideo iliyosambaa sana kama moto wa mabua?Habari zenu ndugu,
Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake.
Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo.
Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa wanapiga raia hivyo na kujifanya wao wako Juu ya Sheria na Wana Haki sana kuliko raia wengine.
Kazi iendelee
==============
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ) amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kukataa amri halali ya askari wa usalama barabarani.
Imedaiwa Mahakamani leo, kuwa MT 89487 CPL Hamis Ramadhan alishindwa kusimamisha gari yake katika kivuko cha watembea kwa miguu eneo la Mlimani City, barabara ya Survey.
Wakili wa Serikali, Vailet Kyendesa ameiambia Mahakama kuwa Ramadhani akiwa akiiendesha gari binafsi T 433 ALB Nissan Patrol alikaidi amri ya kusimamisha gari na kujaribu kumsukuma askari wa usalama barabarani kwa gari lake.
Mshitakiwa amekana mashitaka na upande wa mashitaka umedai upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.
#HabarileoUPDATES
mambo vip, samahani kidogo kama kutakuwa na connection ya mgodini nisaidie nipate ajira broMaisha gani mazuri!!ya kawaida sana,
Hivyo vimikopo ndio vinawavimbisha vichwa?
Huwezi kuwalinganisha na wahandisi vijana waliopo UN, USAID, migodini, hata pale Helios tower, Kuna watu wanavuta mpunga mrefu kuliko hata wabunge,
Niambie mjeda gani anavuta 50Milioni kwa mwezi? mgodini wapo kibao Tena vijana tu.
Gari yake inadaiwa ni ya miaka ya 90,unasema anakula maisha,duuu! kweli ulaji wa maisha unatazamwa tofautitofauti.Mi sina hata pikipiki,lakini sioni ulaji wa maisha kwa baadhi ya askari.Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
We ni kuruta?Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Ina maanisha nini?We ni kuruta?
Huzuni sanaSafi sana, Hao wapuuzi pamoja na wezao TISS siku zote wanajiona wao wapo Juu ya Sheria. Ni Washenzi sana
😁😁😁Kumbe jw junapili huwa wanapumzika hawaendi kazini ?JW wanavaa magwanda mpaka jumapili ili wasilipe 500 kwenye daladala