Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Wakati wa Arab springs majeshi mengi ya nchi za kiarabu walifundishwa adabu na wananchi wenye bakora na mawe tu.Wawe makini kwani huwa yana ukomo wake.Tutazoeana nao tu mkuu, relax.
Kuna siku watatoka nazo wasirudiKumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.
Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Tanzania ya zamani hairudi tena .Kumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.
Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Kumeanza kuchangamka.

Mimi nakulaga Jagger Master na Mkombolelo na KisunguraHii Nchi ukiiwaza sana, utapata Sonona we kula bhangi yako, Chapa gajina, nenda katafute pesa.
Inabidi wauzoee tu mkuu.Mwenge upo Arusha
HAKIKA MKUU na bila kuisahau ngesujii ile ya wamasai..piga kazi ludi na kitu nyumbani maana nahisi bado tunasafali ndefu kujiletea ukombozi wa kweli kama taifa.Hii Nchi ukiiwaza sana, utapata Sonona we kula bhangi yako, Chapa gajina, nenda katafute pesa.