Hawana lolote andamaneni wao ni walinzi wa wananchi🤣Kumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.
Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Unachanganya zote hizo?figo ziko poa kweli?Mimi nakulaga Jagger Master na Mkombolelo na Kisungura
Shida kubwa ya nchi hii ni kuwapa watoto wenye njaa posho na ukawashimisha bunduki...hii ni hatariJWTZ kama baadhi yenu mpo humu jukwaani, basi mnatakiwa mjitafakari. Mimi sitawatukana. Isipokuwa nitawapa tu ushauri wa bure.
Wakati mwingine wekezeni nguvu kubwa kwenye ulinzi wa raslimali za Taifa mfano madini, wanyama, pembe za ndovu, fedha za walipa kodi, bahari, nk. Badala ya kuhangaika kuwalinda watawala walioingia madarakani kwa njia za hila, ikiwemo wizi wa kura!
Pia mnatakiwa kufahamu hiyo mishahara na posho mnazolipwa zinatokana na kodi za wananchi hao hao mnaowazuia kuandamana ili tu kudai haki zao za msingi kutoka kwa watawala viziwi na wenye dharau.
Yamekuwa hayo mara!Wapuuzi sana na hawajitambui
Mkuu wao yupo upande upi?. Yupo upande wa Watawala au Maslahi ya Taifa?JWTZ kama baadhi yenu mpo humu jukwaani, basi mnatakiwa mjitafakari. Mimi sitawatukana. Isipokuwa nitawapa tu ushauri wa bure.
Wakati mwingine wekezeni nguvu kubwa kwenye ulinzi wa raslimali za Taifa mfano madini, wanyama, pembe za ndovu, fedha za walipa kodi, bahari, nk. Badala ya kuhangaika kuwalinda watawala walioingia madarakani kwa njia za hila, ikiwemo wizi wa kura!
Pia mnatakiwa kufahamu hiyo mishahara na posho mnazolipwa zinatokana na kodi za wananchi hao hao mnaowazuia kuandamana ili tu kudai haki zao za msingi kutoka kwa watawala viziwi na wenye dharau.
Picha zipo wapi?Kumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.
Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Usengeusenge umejaa sana pale juu shida ndio hioKisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Lakini,wao wanalipwa na posho ya kuua ili iwasaidie kupooza makali ya bei sokoni.The good thing ni kwamba,bei ya nyanya sokoni haiangalii huyu ni mwanajeshi au huyu ni jobless,wote tunafeel pain ya ugumu wa maisha.
Zipo poa kabisaUnachanganya zote hizo?figo ziko poa kweli?
Mkuu,Mimi nakulaga Jagger Master na Mkombolelo na Kisungura
Kinga ni bora kuliko tiba, atokee tu mvuta bangi moja jeshi kinachojua ni kuua na kuvunja hao si polisi sijui wakukamate, hiyo hapana! Lazima wachukue tahadhari kuna wapumbavu wanahamasisha ghasia na vurugu humu mitandaoniKumeanza kuchangamka.