Ukweli lazma usemwe na ndio maana licha ya maisha kuwa tight mafuta bei juu ila kuna mtu mahali hazimi toyota crown yake akiingia supermarket kufanya shopping. Inaweza unguruma hata lisaa limoja hawaziKwa nini unampiga mwenzako kwenye mshono?
Kazi gani? Kufyeka, kufagia na kuotesha viribatumbo huko makambini? 😳Hawana kazi za msingi za kufanya.
utakuta mtu asiye na uwezo wa kumiliki gari anamtaka huyo mwenye toyota crown naye ashiriki maandamano ya kuvunja maduka ya watu.Ukweli lazma usemwe na ndio maana licha ya maisha kuwa tight mafuta bei juu ila kuna mtu mahali hazimi toyota crown yake akiingia supermarket kufanya shopping. Inaweza unguruma hata lisaa limoja hawazi
utakuta mtu asiye na uwezo wa kumiliki gari anamtaka huyo mwenye toyota crown naye ashiriki maandamano ya kuvunja maduka ya watu.
ndio tatizo la hii inchKumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.
Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.