Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao.
Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu kumekuwa na ajali nyingi kutokana na barabara kuwa na mteremko mkali,lakini pindi itokeapo ajali,askari wa Dumila popote atakapo kuwa anajua dili tayari.
Askari hawa wamekuwa wakiibia waanga wa ajali hasa yakidondoka magari ta mizigo,ni jana tu gari la mcheke limedondoka mahari pale,wananchi wakasaidia ajabu police hao hao wamefika pale na kuanza kuweka viroba pembeni na kila 1 kuondoka na viroba kazaa vya kilo 50,pomoja na mfanya biashara huyo kulia kwa uchungu pesa ya mkopo benK.
Kumekuwa na matukio haya mengi sana pale dumila.
Tunaomba mamlaka husika wasaidie hili.