Askari wa pale Posta mjini achoka kusimama baada ya miaka mingi, aamua kukaa 2025

GANJIBHAAI

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
456
Reaction score
1,352
IMG_2723.jpeg

Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
 
asiwe kama mbowe king'ang'anizi.....astaafu kwahiyari miguu ishaaza kumuuma...kisukari
Tutafute mbadala wa Mwenyekiti taratibu, tusije lia na kujuta kisa tu tumeamua kumtoa,miaka mitano inatosha kwa ajili ya transition hata yeye ameshaanza kunusa harufu kali ya kuchokwa 😀
 
Poti ,hapana infantly soja hutakiwi kukaa uwanja wa vita....huyo amekaa
 
Back
Top Bottom