Askari wa Ukraine awashangaa wapiganaji wa Wagner wasiorudi nyuma

Hiyo mbinu inaonekana inafanya kazi vizuri.Hata aliyekuwa hajahukumiwa kwa madawa ya kulevya anaweza akaona bora iwe hivyo.Wakija magereza ya kwetu watawapata wengi.Kila siku kesi haijakamilika ushahidi miaka inakwenda.
 
Himars ziko zinafanya kazi vema, ila Warusi wamejifunza hawaweki tena vituo vya thamani karibu na mstari wa mapigano kama vile stoo za risasi na grenedi au ofisi ya jenerali
Waliporudi nyuma kule Kherson ilikuwa habari kubwa.Kumbe ni mbinu ya vita ili wao wasifikiwe na HIMARS huku wakivurumisha makombora yao ya masafa ya mbali.
 
Uzuri ni kwamba wanawakilisha vyema.
 
Hv na wewe ni Great Thinker...hapa JF???

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Shida sio Wagner,shida ni mnapigana vita ambayo sio ya kwenu(Ukraine) wagner akiwacekea NATO itaingia Urusi.
P I salute hawa jamaa wagner, wamefyeka kikosi kizima na kubakiza mtu mbili tu. Nafikili waliwaacha makusudi tu ili wakaadithie
 
Andriy said their machine gunner was "almost going crazy" because he knew he was shooting at and hitting his targets, but none of the troops he hit were falling.

"He said, 'I know I shot him, but he doesn't fall,'" Andriy told CNN. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
P
I salute hawa jamaa wagner, wamefyeka kikosi kizima na kubakiza mtu mbili tu. Nafikili waliwaacha makusudi tu ili wakaadithie
Mkuu kweli unawasaluti hao watumwa wa kijeshi wa Wagner?? Waliohukumiwa kwa makosa na jinai mbalimbali halafu kupewa nafasi ya kutoka gerezani wakikubali kuingia vitani ??? Jeshi la wahalifu?
 
Wagner hawa ambao wanarecruit kina Nemes Tarimo na wafungwa wengine blacks kujiunga na group lao kupigana au siku hayo mapigano ya karibuni wameanza kutumia alliens?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…