Askari wa Ukraine awashangaa wapiganaji wa Wagner wasiorudi nyuma

jinsi askari wa Ukraine wanavyowaogopa wagner sasa wajipa moyo kuwa kuondoka kwa wapiganaji wa wagner kutawafanya walishinde jeshi la Urusi kwani halina uzoefu wa vita.
Zaidi wamesema mtindo wa upiganaji wa askari wa Wagner kama wa kujitoa muhanga ndiko kunakofanya kupigana nao kuwe kugumu zaidi.
 
Kwahiyo Wagner wameondoka au ni propaganda tu?
 
Himars ziko zinafanya kazi vema, ila Warusi wamejifunza hawaweki tena vituo vya thamani karibu na mstari wa mapigano kama vile stoo za risasi na grenedi au ofisi ya jenerali
Mkuu upo outdated na taarifa vita hii. Wamarekani wamekili Warusi wamegundua namna ya kuingilia mfumo wa kieletroniki wa kuongoza HIMARS. i.e zimekuwa hacked software ya kuongozea hii mitambo.
 
A. Sawa mitambo ya Elektronik za Urusi inasemekana imefaulu kuvurugu himars mara chache, zaidi droni za Ukraine.
B. Bado Himars zinafanya kazi, labda si tena kwa 95%. Hii sababu Warusi bado wanatunza vituo vya kamandi mbali na mstari wa mapigano
C. Wamarekani wanashangaa jinsi Ukraine walivyofaulu kutumia Patriot kuangusha Kinzhal - inaonekana walijifunza haraka
D. Roketi mpya kutoka Uingereza zinas3mekana kupiga sasa kwa 100%
 
Hakuna mtambo wa Patriot uliuofanikiwa kuangusha Hypersonic Glided Missile za Urusi ni uongo, propaganda za vita.
Nakupa sababu mbili au tatu kubwa za hoja yangu.
  1. Idadi ya mamombora yanayo daiwa kutunguliwa na Ukraine inazidi mara tatu ya idadi halisi ya makombora yaliyo rushwa na Urusi.
  2. Makao makuu ya kitengo cha Ujasusi (usalama) wa Jeshi la Ukraine pale jijini Kiev imetunguliwa na makombora ya High Precision ya Urusi, Je mitambo ya Patriot ilikuwa wapi? Hii imetokea takribani siku tatu zilizopita.
  3. Launchers za Patriot zimeharibiwa na Urusi, jiulize kwanini hizo patriot hazikuzuia mashambuluzi ya urusi.
NOTE: Marekani wamekili Patriot zimeharibiwa kiasi flani na mashambulizi ya Urusi, pitia taarifa rasmi za Ikulu ya Marekani, wizara ya ulinzi ya marekani.
 
Mkuu ikikufariji, amini tu. Si rahisi kujua ukweli wakati wa vita, maana kila upande unatumia uwongo kama silaha.
Kuhusu Kyiv penyewe, angalau wako wanahabari wa kimataifa huko. Sijaona taarifa kwamba hali halisi makombora ya Kirusi yalipiga shabaha yoyote mjini hapa. Inaonekana ulinzi wa mji mkuu ni mzuri.
Uharibifu unaotokea ni kutokana na droni na roketi zinazoangushwa juu ya jiji.
Ilahali Urusi ilithibitisha walitumia Kinzhall Kyiv na hakuna iliyopiga kitu,basi naeleke
a kukubali madai ya Ukraine ziliangushwa.
 
Back
Top Bottom