Askari wa Ukraine awashangaa wapiganaji wa Wagner wasiorudi nyuma

Wagner hawa ambao wanarecruit kina Nemes Tarimo na wafungwa wengine blacks kujiunga na group lao kupigana au siku hayo mapigano ya karibuni wameanza kutumia alliens?
Usimuite Nemes Tarimo unamkosea sana heshma sanaaa

Unatakiwa umuite Shujaa Nemes Mpambanaji Tarimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni kama Immortal![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ni kama Immortal![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usimuite Nemes Tarimo unamkosea sana heshma sanaaa

Unatakiwa umuite Shujaa Nemes Mpambanaji Tarimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushujaa gani kuharibu mpango wa maisha kwa kujiingiza katika biashara ya madawa ya kulevya, kuhukumiwa jela na hatimaye kujiunga na genge la wauaji ili atoke gerezani?
Sitaki kumlaumu kwa maazimio yake lakini ushujaa wa aina gani?
 
Duuh! kwa namna hiyo mtanzania mwenzetu angeponaje sasa. Huenda wanapowasajili wafungwa magerezani wanaenda kama malaika wa Mungu. Hali inabadilika tu wakifika eneo la mapigano (kwenye mafunzo) kwamba ukitoroka shaba, ukiona mwenzio kafa no kurudi nyuma kama mazombi tu. Mtu ndo anajilaumu kwanini nilikubali kujiunga na mashetani hawa, lakini ndo basi tena. Duniani kunadhiki jamani.
 
Kujiunga na wagner group unabofya ngap ngapi wadau tupeane connection bongoland ngumu
 
Acha waendelee kutwangana tu, miaka 5 baadae tutaenda huko kujinyakulia mademu wa Kirusi bila bugdha. Kutakuwa na uhaba mkubwa wa wanaume
 
Wanarudi nyuma wakati wanakufa kama kumbikumbi na wachache ndiyo wanabahatika kurudishwa kwenye nchi zao wakiwa ndani ya masanduku wakiwa na lengo la kuibua hamasa maeneo ya nchi hizi wanazotoka hao vijana ili na wao wahisi kuguswa na wawe tayari kwenda kujiunga nao.
 
Inaonekana hujawahi kukaa gerezani au angalau mahabusu kwa siku 1.Halafu iwe umehukumiwa kwa kifungo kibaya kama hicho.Kutoka gerezani kwenda kupigana ni kama sherehe.inapokuwa umeahidiwa utatoka baada ya miezi kadhaa na zawadi juu.Katika hali hiyo wala hujali kufa.Unapigana kwa nguvu kama hao waliomtisha kruta wa Ukraine.
 
Bila shaka ile idadi ya vifo anayoleta kila siku mkuu kp kipanya44 itakuwa sahihi.

Kwa mwendo huo lazima casualties ziwe nyingi sana.
 
Hii hali inazidi kuwatesa askari wa Ukraine.Imekuwa kama kuweweseka baada ya kuingiwa na hofu moyoni
Msemaji mkuu wa majeshi ya Ukraine huko mashariki Serhiy Cherevatyi amesema "The enemy continued to attack our positions with satanic zeal," .Amesema wapiganaji hao wamekuwa wakishambulia kama kwamba ni mapigo ya nyundo,wanakwenda halafu wanarudi tena .
Katika muda wa siku tatu zilizopita jeshi la Urusi likishirikiana na Wagner wamezidi kuudhibiti mji wa Bakhmut jambo ambalo hata kamanda wa zamani wa Marekani amekata tamaa na ahadi ya kujibu mapigo inayotolewa na Ukraine.
 
Propaganda za kitoto hizo, we sema jeshi la Ukraine lilishahisi linashindwa vita ndio wanatujia na stori za Uongo kwamba wanapigana na zombies/robots hivyo walishindwa vita ni sawa tu maanake wanapigana na binadamu ambao hawajali maisha yao - ulaghai mtupu - mbona embedded journalist ambao wapo frontline wanazungumza vitu tofauti kabisa kwamba wanajeshi wanao uwawa kwa wingi ni wa Ukraine sio Urusi/wanamgambo/Wagner Group - maiti nyingi ni za Waukraine.
 
Hizi habari inazipaya wapi?
 
Dau refu asee na maisha yenyewe ndo vile, bora ufie kwenye mapambano kuliko kukaa kihasara huku kuna washenzi wanakulazimisha ukubaliane na upuuzi wao wa ushoga
😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu kuna mtu alikufata akakwambia uwe shoga?? Dah sijui alikuonaje aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kwann usimlaumu aliyeanzisha vita?
Hakwepi lawama mwsnzilishi wa vita hii ambaye ni NATO

Mkataba wao wa kuvunja iron curtain was to respect security and establishment ya mipaka ya other frontier.

Pia majibu ya kejeli na ubabrle kutoka pande zote za vita inadhihirisha upungufu wa utu, ustaarabu na akili.

Pande zote zinawajibika kusitisha vita hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…