Kwahiyo Wagner wameondoka au ni propaganda tu?jinsi askari wa Ukraine wanavyowaogopa wagner sasa wajipa moyo kuwa kuondoka kwa wapiganaji wa wagner kutawafanya walishinde jeshi la Urusi kwani halina uzoefu wa vita.
Zaidi wamesema mtindo wa upiganaji wa askari wa Wagner kama wa kujitoa muhanga ndiko kunakofanya kupigana nao kuwe kugumu zaidi.
Nilijua Wagner wameondokaUkraine wana tamaa za fisi kuwa Wagner wanaowaogopa wataondoka na wao kurudi mjini humo.
Mkuu upo outdated na taarifa vita hii. Wamarekani wamekili Warusi wamegundua namna ya kuingilia mfumo wa kieletroniki wa kuongoza HIMARS. i.e zimekuwa hacked software ya kuongozea hii mitambo.Himars ziko zinafanya kazi vema, ila Warusi wamejifunza hawaweki tena vituo vya thamani karibu na mstari wa mapigano kama vile stoo za risasi na grenedi au ofisi ya jenerali
A. Sawa mitambo ya Elektronik za Urusi inasemekana imefaulu kuvurugu himars mara chache, zaidi droni za Ukraine.Mkuu upo outdated na taarifa vita hii. Wamarekani wamekili Warusi wamegundua namna ya kuingilia mfumo wa kieletroniki wa kuongoza HIMARS. i.e zimekuwa hacked software ya kuongozea hii mitambo.
Hakuna mtambo wa Patriot uliuofanikiwa kuangusha Hypersonic Glided Missile za Urusi ni uongo, propaganda za vita.A. Sawa mitambo ya Elektronik za Urusi inasemekana imefaulu kuvurugu himars mara chache, zaidi droni za Ukraine.
B. Bado Himars zinafanya kazi, labda si tena kwa 95%. Hii sababu Warusi bado wanatunza vituo vya kamandi mbali na mstari wa mapigano
C. Wamarekani wanashangaa jinsi Ukraine walivyofaulu kutumia Patriot kuangusha Kinzhal - inaonekana walijifunza haraka
D. Roketi mpya kutoka Uingereza zinas3mekana kupiga sasa kwa 100%
Mkuu ikikufariji, amini tu. Si rahisi kujua ukweli wakati wa vita, maana kila upande unatumia uwongo kama silaha.Hakuna mtambo wa Patriot uliuofanikiwa kuangusha Hypersonic Glided Missile za Urusi ni uongo, propaganda za vita.
Nakupa sababu mbili au tatu kubwa za hoja yangu.
NOTE: Marekani wamekili Patriot zimeharibiwa kiasi flani na mashambulizi ya Urusi, pitia taarifa rasmi za Ikulu ya Marekani, wizara ya ulinzi ya marekani.
- Idadi ya mamombora yanayo daiwa kutunguliwa na Ukraine inazidi mara tatu ya idadi halisi ya makombora yaliyo rushwa na Urusi.
- Makao makuu ya kitengo cha Ujasusi (usalama) wa Jeshi la Ukraine pale jijini Kiev imetunguliwa na makombora ya High Precision ya Urusi, Je mitambo ya Patriot ilikuwa wapi? Hii imetokea takribani siku tatu zilizopita.
- Launchers za Patriot zimeharibiwa na Urusi, jiulize kwanini hizo patriot hazikuzuia mashambuluzi ya urusi.