Ni hatari kabisa🤣🤣🤣VAA BARAKOA MPWA WAKIKOSA CHAKUKUANDIKIAA WANAULIZA MBONA HUNA BARAKOA
UNAPEWA KARATASI AWAKOSAGI
Unapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?Pale baada ya kituo cha daladala kama unakaribia Petrol Station ya PUMA kuna Zebra. Sasa wanavizia kama hujasimama kwenye zebra crossing hata kama hakuna mwenda kwa miguu anayevuka wanakupa kosa la kushindwa kusimama kwenye kivuko cha waenda kwa miguu. Wanakaa watatu hadi wanne
JIULIZE UNAMWANDIKIA MTU BADO ANAKUJA NJE KUFANYA NNView attachment 1474888
Kwahiyo we hujui kuwa ni lazma usimame kwanza kwenye zebra hata kama hujakuta mtu anaetaka kuvuka? Au ndo udereva wa kujua kuachia clutch tuPale baada ya kituo cha daladala kama unakaribia Petrol Station ya PUMA kuna Zebra. Sasa wanavizia kama hujasimama kwenye zebra crossing hata kama hakuna mwenda kwa miguu anayevuka wanakupa kosa la kushindwa kusimama kwenye kivuko cha waenda kwa miguu. Wanakaa watatu hadi wanne
Unapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?
Ndugu Ghost Worker mebidi nicheke tu! Kwahiyo kwa barabara za Dar sehemu zoote zenye zebra ukifika lazima usimame?!!! This is a very big joke. Sehemu zingine zebra zipo katikati ya junctions kwenye mataa.Unapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?
Udereva wa kufunzwa ni udereva wa kutumia akili. Unachokiongea ni practically impossible hasa kwa miundombinu isiyokua na mpangilio ya hapa DarKwahiyo we hujui kuwa ni lazma usimame kwanza kwenye zebra hata kama hujakuta mtu anaetaka kuvuka? Au ndo udereva wa kujua kuachia clutch tu
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni wahalifu.Saa zingine zinasaidia.
Walinikamata gari ina deni la 60000 nina 5000 tu. Nikawapa wakaniacha niende
Na wanapenda virikuu.