Kichaka kingine wameweka pale baada ya mataa ya Bamaga kama unaeelekea town ila hawa wanavizia zile taa pale maana kuna ujenzi wa barabara kwa hiyo wanajua watu sometimes huwa wananyooka tu. Watu wanaliwa vichwa sana pale asubuhi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.