Wewe ndo tukuulize maana haipo nna hiyo kama hakuna mvukaji unapita tu na ipo katika sheria na mpk traffic wameelekeza sanaUnapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?
Kabla hujaingia barabarani tafuta elim ya usalama barabaran il upunguze kucmnt ugoro Kama huuUdereva wa kufunzwa ni udereva wa kutumia akili. Unachokiongea ni practically impossible hasa kwa miundombinu isiyokua na mpangilio ya hapa Dar
Kwa kauli yako naelewa wewe ni katika wale wanaolazimisha makosa for personal gain
Itakuwa traffic police huyu.Ndugu Ghost Worker mebidi nicheke tu! Kwahiyo kwa barabara za Dar sehemu zoote zenye zebra ukifika lazima usimame?!!! This is a very big joke. Sehemu zingine zebra zipo katikati ya junctions kwenye mataa. Kwahi kama kuna msururu wa magari ishirini nyuma kila gari ikifika hapo isimame hata kama hakuna anayevuka!!!! Hizi ni akili za wanaolazimishia watu makosa, ni akili za ma sadist. Watu ambao hufurahi wanapoona wengine wamepata matatizo
Ndio haohao, anaona awameshashtukiwaItakuwa traffic police huyu.
Ashrafu ?SIKUHIZI AMEKUWA NA SIFA SANA ALIKUWA MZURI SANA ENZIHIZO NOW LOH
Lakini namuona jamaa yuko peace sana au kabadilika siku hizi?Uyouyo
Unapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?
yule shortie mshenzi sana, usiombe umkute pale mataa ya NJIAPANDA YA KAWE halafu we unatokea kama mwenge hivi. utakaa kwenye foleni hadi utubu
Nakubaliana na wewe kabisa mkuuHuyo Afande mbona hanaga nongwa kabisa?
Huyo anaijua kazi yake wala hanaga ushuhuda wa mambo ya ajabu ya usumbufu kwa wananchi.
Huyo Afande mbona hanaga nongwa kabisa?
Huyo anaijua kazi yake wala hanaga ushuhuda wa mambo ya ajabu ya usumbufu kwa wananchi.
Nongwa yake ni mida ya asubuhi akisimama anapendelea Sana upande mmoja wanaotokea wanene
Hivi pale ndo kapangiwa? Mpaka weekend lzm utamkuta paleyule shortie mshenzi sana, usiombe umkute pale mataa ya NJIAPANDA YA KAWE halafu we unatokea kama mwenge hivi. utakaa kwenye foleni hadi utubu
Hivi pale ndo kapangiwa? Mpaka weekend lzm utamkuta pale
utafika saa ngapi?Unapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?