Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,723 Jun 11, 2020 #41 Wako poa! Wanafuata sheria ila kosa ni mlungula. Ni lazima uheshimu zebra
Manyema JF-Expert Member Joined Sep 2, 2010 Posts 691 Reaction score 1,828 Jun 11, 2020 #42 Kichaka kingine wameweka pale baada ya mataa ya Bamaga kama unaeelekea town ila hawa wanavizia zile taa pale maana kuna ujenzi wa barabara kwa hiyo wanajua watu sometimes huwa wananyooka tu. Watu wanaliwa vichwa sana pale asubuhi.
Kichaka kingine wameweka pale baada ya mataa ya Bamaga kama unaeelekea town ila hawa wanavizia zile taa pale maana kuna ujenzi wa barabara kwa hiyo wanajua watu sometimes huwa wananyooka tu. Watu wanaliwa vichwa sana pale asubuhi.