DogoWaNjombe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,284 Reaction score 7,708 May 11, 2025 #1 Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali. Your browser is not able to display this video.
Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali. Your browser is not able to display this video.
R Rascallone Senior Member Joined Dec 20, 2017 Posts 100 Reaction score 83 May 11, 2025 #2 Tundu yupo, mnataka nini tena?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 11, 2025 #3 Hatari sana