Askari watahusika kuangamiza machawa awamu ya pili ya safisha safisha

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba machawa mashughuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi. Askari wakishavaa kiraia machawa mashughuli nawahurumia.

Mwisho wa picha itasomwa wahuni wenye silaha walivamia nyumba ya wasanii kadhaa na kuwatubua marisasi. Kwa taarifa yenu. Na bado.
 
Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu. Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10. Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa
 
Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba mavhawa mashuhuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi. Askari wakishavaa kiraia machawa mashuhuli nawahurumia. Mwisho wa picha itasomwa wahuni wenye silaha walivamia nyumba ya wasanii kadhaa na kuwatubua marisasi. Kwa taarifa yenyu. Na bado.
Awamu nyingine ipi!? #MD9
 
Sfahamu iwapo uko na I,d mbili, kuna ile moja inatumika saana kujipendekeza ccm na hii ambayo una posti vitu uhakika

Kwa bandiko hili naamini, maana umekuwa ukiposti vitu uhakika mkuu
 
Samia ndiye anatakiwa kula chuma kwanza
 
Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu. Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10. Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa
jidanganye tutagawana mbao Kubadilisha wakurugenzi wa Tiss wa nne ndani ya miaka mi nne dats why kulikua kuna kitu hakiko sawa
 
Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu. Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10. Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa
Mlianza kuwatisha kwa masilaha yenu mkajua wangewachekea tu!?
 
Back
Top Bottom