October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Coca upo? Good to see ur still alive.Wacha tuonee.
Wacha tuonee.
Wacha buana!... mmmwaah!Wacha tuonee.
Habari zako mara nyingi ni za uhakika
kabisa yaaniNilianza kkuamini kwa baadhi ya habari haswa ulivyoongelea habari za Gwajima ile Redcross26... mara nyingi unaongea kwa lugha rahis rahis tu ila una kitu
Awamu nyingine ipi!? #MD9Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba mavhawa mashuhuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi. Askari wakishavaa kiraia machawa mashuhuli nawahurumia. Mwisho wa picha itasomwa wahuni wenye silaha walivamia nyumba ya wasanii kadhaa na kuwatubua marisasi. Kwa taarifa yenyu. Na bado.
Sfahamu iwapo uko na I,d mbili, kuna ile moja inatumika saana kujipendekeza ccm na hii ambayo una posti vitu uhakikaNye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba mavhawa mashuhuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi. Askari wakishavaa kiraia machawa mashuhuli nawahurumia. Mwisho wa picha itasomwa wahuni wenye silaha walivamia nyumba ya wasanii kadhaa na kuwatubua marisasi. Kwa taarifa yenyu. Na bado.
Huyu hata kifo cha Ndugai mbona alisema kwamba wanaenda kumlaza chini NdugaiNilianza kkuamini kwa baadhi ya habari haswa ulivyoongelea habari za Gwajima ile Redcross26... mara nyingi unaongea kwa lugha rahis rahis tu ila una kitu
jidanganye tutagawana mbao Kubadilisha wakurugenzi wa Tiss wa nne ndani ya miaka mi nne dats why kulikua kuna kitu hakiko sawaGen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu. Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10. Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa
Mlianza kuwatisha kwa masilaha yenu mkajua wangewachekea tu!?Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu. Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10. Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa