Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Wewe fala nenda ukaangalie vizuri walivyochoma Kenya, walichoma mpaka ndege .Maduka nkWewe ndiyo bwege. Kenya walikuwa sawa kuchoma bunge kwa kuwa wana akili. Bunge ndiyo check and balance ya Serikali chombo cha kutunga sheria.
Hawa GEN Zenu ni mazwzwa period!! Kwa nini ukachome miundombinu ya Mwendokasi? Mahakama TRA??
Ndege iliyojuu ya mawe nayo unaita ndege. Pengine hujawahi kusafiri kwa ndegeWewe fala nenda ukaangalie vizuri walivyochoma Kenya, walichoma mpaka ndege .Maduka nk
Kama hujui ufala wa tra wewe Ni zwazwaWewe fala nenda ukaangalie vizuri walivyochoma Kenya, walichoma mpaka ndege .Maduka nk
Watawala ndio wameyataka haya kwa kiburi na jeuri ya madaraka.Kuna mtu anachochea jambo ambalo nadhani linaenda kuwa out of control. Naisikitikia Tanzania yangu maana tunaenda kushuhudia mambo yasiyofikirika.
Kingereza kimetoka kumoyo kabisa kutokana na sumu iliojaa moyoni dhidi ya hii serikali dhalimu. Nakunywa safari kwa uchungu wa kupoteza watanzania wenzangu halafu wanaishia kuitwa wahalifu yani..dah!Ichi kingereza either cha feza au IST