Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mimi nilisema wako 100 walio kufa time ile walisema 10 naona wanasogea tutafika 100
Isije kuwa genocide watu wakianza kulipa ugomviMambo yamebadilika ndugu yangu
Ikipiga raia na wao watapiga raiaIsije kuwa genocide watu wakianza kulipa ugomvi
Na nyie endeleeni na zecomedy yenu huko na ndugu zenu wayahudi.......acha tuwaone wazee wa dini za majahazi mnakamuana vipiWewe tumeishakupuza endelea na uchekeshaji JF😃
Faiza Foxy leo atakunywa pombe kwa furaha.Wanaukumbi.
Katika pembe tatu ya Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah kusini mwa Lebanon wanajeshi 30 wa Israel wametolewa nje na Hezbollah.
Tazama uchanganuzi wangu na jinsi nilivyotabiri hii itatokea:
=================
In the Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah triangle in southern Lebanon 30 Israeli soldiers have been taken out by Hezbollah.Watch my breakdown and how I predicted this would happen:
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1845461295224529118?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOv👇🏽
UP DATE..
========================
⚡️BREAKING - HABARI HII: TAKRIBANI ASKARI 70 WA ISRAELI WALIKUFA NA KUJERUHIWA
Idadi ya wanajeshi wa Iaraeli waliofariki na kujeruhiwa katika operesheni ya "Binyamina" inayolenga kambi ya Golani Brigade kusini mwa Haifa imeongezeka hadi 67, kulingana na vyombo vya habari vya Kiebrania.
Operesheni ilianza kuelekea lengo lake, ukumbi wa kulia katika kituo cha mafunzo cha Golani Brigade. Operesheni hiyo ilizinduliwa wakati huo kwa kuzingatia habari za kijasusi zilizopatikana na Hezbollah kuhusu muda wa chakula cha jioni kinachotolewa kwenye kituo hicho.
View: https://x.com/suppressednws/status/1845531016766906425?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Vita ya Gaza uliileta hii story umesahau nini? au ndio Allah's iblis command Taqiyya
Source ni suleiman ahmed, ila we jamaa🤣ni sawa na utoe habari kuhusu Israel then source iwe kimsboyWanaukumbi.
Katika pembe tatu ya Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah kusini mwa Lebanon wanajeshi 30 wa Israel wametolewa nje na Hezbollah.
Tazama uchanganuzi wangu na jinsi nilivyotabiri hii itatokea:
=================
In the Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah triangle in southern Lebanon 30 Israeli soldiers have been taken out by Hezbollah.Watch my breakdown and how I predicted this would happen:
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1845461295224529118?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOv👇🏽
UP DATE..
========================
⚡️BREAKING - HABARI HII: TAKRIBANI ASKARI 70 WA ISRAELI WALIKUFA NA KUJERUHIWA
Idadi ya wanajeshi wa Iaraeli waliofariki na kujeruhiwa katika operesheni ya "Binyamina" inayolenga kambi ya Golani Brigade kusini mwa Haifa imeongezeka hadi 67, kulingana na vyombo vya habari vya Kiebrania.
Operesheni ilianza kuelekea lengo lake, ukumbi wa kulia katika kituo cha mafunzo cha Golani Brigade. Operesheni hiyo ilizinduliwa wakati huo kwa kuzingatia habari za kijasusi zilizopatikana na Hezbollah kuhusu muda wa chakula cha jioni kinachotolewa kwenye kituo hicho.
View: https://x.com/suppressednws/status/1845531016766906425?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mlokole hataki kukubali😀Uongo huu umeletwa kwa Hisani ya Allah na umewasilishwa na Iblis kupitia mtumwa wa Allah
Wamekufa 3 .........67 ni majeruhi na 5 ndio wako kwenye hali mbaya................so puuuza uongo wowote