Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

Tulia mnyolewe mpaka waseme BBC ndio uamini?.😃
Hehe ninyolewe nikiwa wapi yakhee........wanyoane wenyewe wenye ami zao na babu zao huko.....sie wamatengo hili ni muvi tu,,letu tulishamalizaga enzi za majimaji na mkwawa..........wakimaliza huko watutengenezee tu muvi nzuri huko holywood sijui bollywood tuzidi kuburudika sie wamatengo
 
Yule Waziri wa Ulinzi wa Israel anasema kalibia Hezbollah anaishiwa mabomu😅
Kichaa kweli kuna watu walikuwa wanauliza mbona Hezbullah hajanza kutumia heavy missiles na drones kuna jamaa wa Hezbullah akawambia tulieni tunaenda step by step. Huyu adui kisha zowea kupigana vita vya pupa tutamaliza taratibu 😄

Leo wametia drones zinazo beba missiles waisrael wanakuambia mara ya kwanza tunaona drones kabla ya kufika kwenye target inarusha missile kabla haija enda jilipua.

View: https://youtu.be/TE0bVs7mZys?si=l1vYjPoanqqzxOQ-
 
⚡️BREAKING - UPDATE: ALMOST 70 DEAD AND INJURED ISRAELI SOLDIERS

The number of dead and wounded Iaraeli soldiers in the "Binyamina" operation targeting Golani Brigade base south of Haifa has risen to 67, according to Hebrew media.

The operation set off toward its target, the dining hall at the Golani Brigade training base. The operation was launched at that time based on intelligence obtained by Hezbollah regarding the timing of dinner being served at the base
 
Wakitoka hapo wanaenda kuua watoto na raia wahusika wanaacha hapo utegemee vita iwe nyepesi
 
Magaidi wa Hezbollah tayari wameshakimbilia kujificha kwa wanawake na watoto sasa mchuma janga hula na wakwao itabidi tu wafe na wanawake na watoto maanake hamna namna.
 
Back
Top Bottom