Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

Muisrael mweusi wa SHAMWENNGO anakanusha kuwa Wanajeshi wa Israel hawajafa😅
Mie huku nafurahia tu yeyote afumuliwe........kikubwa wengine tulikua na mrusi na Ukraine ila hizi vita za madini ya majahazi wakiweza wafutane wote tu tuanze 1
 
Wanaukumbi.

Katika pembe tatu ya Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah kusini mwa Lebanon wanajeshi 30 wa Israel wametolewa nje na Hezbollah.

Tazama uchanganuzi wangu na jinsi nilivyotabiri hii itatokea:
=================
In the Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah triangle in southern Lebanon 30 Israeli soldiers have been taken out by Hezbollah.Watch my breakdown and how I predicted this would happen:


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1845461295224529118?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOv👇🏽



Emepunguza idadi tulikubaliana tuseme 50. Na wengine 30 wametekwa. Na ushahidi wetu uwe ni picha na maneno x au instagram ya Imam Abbas
 
Uzuri wa Hezbullah hasemagi uwongo aliwambia Israel silaha zetu bado hatujazitumia nyie mnachopiga ni majumba na ma boom yenu yanawaka kama firegames mnasema silaha za Hezbullah 😄

Hezbullah atamtengeneza huyo ba atapiga calculations vizuri kabla hajaelekea Iran, asitegemee US ataweza mziki wa Iran hao askari zao waliopa Gulf Countries watakuwa sandwich 😄
Yule Waziri wa Ulinzi wa Israel anasema kalibia Hezbollah anaishiwa mabomu😅
 

Nakanusha nikiwa mwembe yanga na kobazi langu kuuuubwaaaa......nikisubiri kupata daaahwa kwa bwana kishki
Screenshot_20241013-210638_X.jpg
 
⚡️BREAKING: Hezbollah husasisha na kuchapisha upya tangazo na onyo kwa walowezi kuhama.

"Jeshi la adui la Israel linatumia nyumba za walowezi katika baadhi ya makazi kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu kama maeneo ya kukusanya maafisa na wanajeshi wake. Kadhalika, kambi zake za kijeshi zinazosimamia uvamizi dhidi ya Lebanon ziko ndani ya maeneo yenye watu wengi ndani ya miji mikuu inayokaliwa kwa mabavu, kama vile Haifa na Tiberius, na mingineyo. Haya ni malengo halali ya roketi na vikosi vya anga vya Islamic Resistance.

Hivyo basi, Islamic Resistance inawaonya walowezi kuepuka kuwa karibu na mikusanyiko hii ya kijeshi ili kuhifadhi maisha yao hadi itakapotangazwa tena.”

Idhaa ya Kiebrania 14: Amri ya Mbele ya Nyumbani inaamuru wakaazi waliolindwa na wa Galilaya ya Juu kukaa karibu na maeneo yenye ngome.
 
Back
Top Bottom