Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

BREAKING: "TUKIO GUMU LA USALAMA"

Takriban wanajeshi 25 wa Israel wamekufa na kujeruhiwa, wakiwemo 5 wako katika hali mbaya, baada ya ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Lebanon na Hezbollah kugonga ukumbi wa kulia chakula wa kituo cha "Golani Brigade" huko "Binyamina," kusini mwa Haifa, bila kurushwa kwa ving'ora vya makombora. . Hospitali ya Rambam ilitangaza hali ya hatari.
 
Hezbulah sio wa mchezo mchezo. Watachezea kichapo sana hapo Lebanon.
Uzuri wa Hezbullah hasemagi uwongo aliwambia Israel silaha zetu bado hatujazitumia nyie mnachopiga ni majumba na ma boom yenu yanawaka kama firegames mnasema silaha za Hezbullah 😄

Hezbullah atamtengeneza huyo na atapiga calculations vizuri kabla hajaelekea Iran, asitegemee US ataweza mziki wa Iran hao askari zao waliopa Gulf Countries watakuwa sandwich 😄
 
Israel angeachana na hiyo vita atapoteza sana wanajeshi huko maana wanapewa drone na Iran hao na wanazo za kutosha..
Acha wapelekeane moto watu wa dini za majahazi......kidogo vita ya mrusi na Ukraine ilikua na maana ila hapa mashariki ya kati naona vita imetawaliwa na hisia za udini, acha wafumuane tu
 
Back
Top Bottom