johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Of all people anajitolea mfano kwa trump? Hiv hawa wanafuatilia kinachoendelea huko?Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku
Hiyo ni kazi ya Machawa kama wanavyofanya watz
Mudavadi amemjibu kwa kusema hata Rais Trump wa USA huwa anajisifia
Credit Citizen TV
My take; Kumbe CHAWA ni Mfumo wa Africa mashariki ๐ผ
Hongera Lucas Mwashambwa
Navalonge swela ๐Mzee Mgaya kama Mzee Mgaya.
Mudavadi ni mchumia tumbo.Myu timamu huwezi kuhalalisha ujinga kwa ujinga.Kwahiyo marekani leo viongozi wakiwa mashoga natatoka mbele na kutetea kuwa kenya inatakiwa iwe na viongozi mashoga kisa Amerika wanao.Huyo Mudavadi ni hopeless piece of shit!!!Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku
Hiyo ni kazi ya Machawa kama wanavyofanya watz
Mudavadi amemjibu kwa kusema hata Rais Trump wa USA huwa anajisifia
Credit Citizen TV
My take; Kumbe CHAWA ni Mfumo wa Africa mashariki ๐ผ
Hongera Lucas Mwashambwa
... chawa ni mfumo wa Dunia, hujakutana na watu wanaitwa 'BOOTLICKERS'?Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku
Hiyo ni kazi ya Machawa kama wanavyofanya watz
Mudavadi amemjibu kwa kusema hata Rais Trump wa USA huwa anajisifia
Credit Citizen TV
My take; Kumbe CHAWA ni Mfumo wa Africa mashariki ๐ผ
Hongera Lucas Mwashambwa
Kenya wanawapongeza sanaMimi siyo chawa