johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku
Hiyo ni kazi ya Machawa kama wanavyofanya watz
Mudavadi amemjibu kwa kusema hata Rais Trump wa USA huwa anajisifia
Credit Citizen TV
My take; Kumbe CHAWA ni Mfumo wa Africa mashariki 🐼
Hongera Lucas Mwashambwa