Askofu asema siyo kazi ya Rais, Makamu wake wala Waziri mkuu kusifia Uongozi Wao bali hiyo ni kazi ya Machawa, PM amjibu hata Trump anajisifia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku

Hiyo ni kazi ya Machawa kama wanavyofanya watz

Mudavadi amemjibu kwa kusema hata Rais Trump wa USA huwa anajisifia

Credit Citizen TV

My take; Kumbe CHAWA ni Mfumo wa Africa mashariki 🐼

Hongera Lucas Mwashambwa
 
Of all people anajitolea mfano kwa trump? Hiv hawa wanafuatilia kinachoendelea huko?
 
Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku

Hiyo ni kazi ya Machawa kama wanavyofanya watz

Mudavadi amemjibu kwa kusema hata Rais Trump wa USA huwa anajisifia

Credit Citizen TV

My take; Kumbe CHAWA ni Mfumo wa Africa mashariki 🐼

Hongera Lucas Mwashambwa
Mudavadi ni mchumia tumbo.Myu timamu huwezi kuhalalisha ujinga kwa ujinga.Kwahiyo marekani leo viongozi wakiwa mashoga natatoka mbele na kutetea kuwa kenya inatakiwa iwe na viongozi mashoga kisa Amerika wanao.Huyo Mudavadi ni hopeless piece of shit!!!
 
Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku

Hiyo ni kazi ya Machawa kama wanavyofanya watz

Mudavadi amemjibu kwa kusema hata Rais Trump wa USA huwa anajisifia

Credit Citizen TV

My take; Kumbe CHAWA ni Mfumo wa Africa mashariki 🐼

Hongera Lucas Mwashambwa
... chawa ni mfumo wa Dunia, hujakutana na watu wanaitwa 'BOOTLICKERS'?
Kama huna 'influence' ya kujiuza kama chawa basi KULA KWA JASHO!
 
Back
Top Bottom