Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

Hoja nzito hizi...
 
Ameeleza vizuri hajaegemea upande mmoja !! Amepiga pande zote !!
 
Kimsingi maelezo yote kuanzia 1 hadi 11 yanajitosheleza.
Kila mmoja atimize wajibu wake kwa kujirekebisha pale palipoguswa kulingana na hoja za askofu.
Hatuna ukamilifu, kila siku tunajifunza na kujirekebisha.
💯
 
KKKT wakawa wajanja wakamkwepa kimtindo kuwa Kiongozi wao wa Kitaifa. Na yeye aliisoma ramani mapema, HAKUGOMBEA!
Taarifa zilizopo ni kwamba walimtimua kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya KKKT ambacho kinapiga kura na wajumbe wake wanakidhi vigezo vya kupigiwa kura. Lakini habari zilizopo ni kwamba pamoja na hilo alipata kura 15 ambazo zilihesabika kwamba zimeharibika soma hapa: Uchaguzi KKKT: Askofu Bagonza aibuka na mambo matatu
 
Kumbe aligombea? Ahsante kwa masahihisho na nimeisoma hiyo habari. Ukweli ni kwamba Askofu Dk. Bagonza sio mtu mzuri wa kuongoza watu au taasisi. Kimsingi, mtu anayeamini yeye ni bora na mzuri kuliko wengine HASTAHILI hata kukaa na watu wengine. Askofu Dk. Shoo na Maaskofu na Wajumne wa Halmashauri Kuunya KKKT naamini wametumia busara kubwa kumuengua! Ni maoni yangu.
 
Pole sana bagonza, tumeona huko kwako mambo yamekuwa si mambo, unaelezeaje kuhusu hilo?
 
Pole sana bagonza, tumeona huko kwako mambo yamekuwa si mambo, unaelezeaje kuhusu hilo?

Kwake alishaeleza au ulikuwa jela haukuona chapisho/bandiko/andiko lake? Pia ukimtaja Bagonza(Phd) usisahau kuweke Phd huyo ni tofauti na mashehe wenu ubwabwa ambao shuleless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…